Manny Pacquiao amjibu May weather "Saini Mkataba kwanza"
Bondia Manny Pacquiao a.k.a Pac man ametuma taarifa kwa bondia mwenzie Floyd Mayweather ambae ana taraji kupambana nae hivi karibuni,baada ya kuonekana kwa kila mtu kumtambia mwezio juu ya pambano hilo
Pac Man a.k.a Manny Piquaio alionekana maeneo ya mji wa
New York majira ya asubuhi,chombo cha TMZ kilipo jaribu kumuuliza
kuhusuiana na pambano anaro taraji kupambana na Floyd Mayweather
alisema......
FLoyd anachotakiwa ni ku sign mkataba kwanza
"Floyd!Sign the contract."
Bondia huyo Pic Man pamoja na crew yake wamesha sign mkataba wa pambano hilolitakalo fanyika May 2 mwaka huu ambapo Manny Piquiao anataraji kupambana na mchezaji mwenye hela nyingi kuliko wachezaji wengine Floyd Mayweather
0 comments: