Powered by Blogger.

Thursday, 22 January 2015

Dakika 36 zilizopita OBITUARY Saudi Arabia King Abdullah dies ( Mfalme Abdullah afariki dunia) Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .

Posted by Unknown at 16:20 0 Comments


Tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.
Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.
King Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa tangu December mwaka wa jana kutokana na maambukizi kwenye njia ya hewa.
Mfalme huyo aliingia madarakani mwaka 2005 lakini alikuwa ni dhaifu mwenye kushambuliwa na maradhi mara kwa mara.

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

ddsdfs


Powered by Blogger.
back to top