Powered by Blogger.

Friday 23 January 2015

NAFASI ZA KAZI- GRAPHIC DESIGNER ANAHITAJIKA, AFISA WATENDAJI, Afisa Mauzo/Promotion

Posted by Unknown at 03:52 0 Comments

  • Job Vacancy > Graphic Designer-Intern
    Location > Dar Es Salaam
    Position Type > Internship
    Organization Type > Company  
  • Website > http://www.communicationsolution.co.tz

  • Communication Solution

Application Deadline: 27 Jan 2015
Graphic Designer-Intern POSITION DESCRIPTION:

CoSo is the multichannel marketing agency. We harness culture for the benefit of people and business. We are seeking highly motivated individual for internship in our Creative Department. Successful candidate will be involved in print, digital design and marketing.

Responsibilities:
Develop marketing materials for print, web, social media, TV, etc.
Concept and research for upcoming projects
Create and edit presentation materials
Administrative tasks as necessary
Marketing company's products & services

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Send us a cv

Those who have applied it before, please don't apply.

If you are qualified for this position

  • Job Vacancy > Afisa Mtendaji Wa Kijiji - x16
    Location > Kasulu
    Position Type > Full Time
    Organization Type > Government

  • Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

Application Deadline: 03 Feb 2015
Afisa Mtendaji Wa Kijiji - x16 POSITION DESCRIPTION:

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kasulu kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu wa Utumishi anapenda kuwatangazia wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kama ifuatavyo:

1. Afisa Mtendaji Wa Kijiji - x16
A. MAJUKUMU
i. Afisa masuuli na Mtendaji wa Serikali ya Kijij
ii. Kusimamia ulinzi na usalama ya raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na usimamizi wa utawala bora
iii. Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kijiji
iv. Katibu wa mikutano na kamati zote za halmashauri ya kijiji
v. Kutafasili na kusimamia sera, sharia na taratibu
vi. Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali
vii. Kiongozi wa wakuu wa vitengo katika vijiji, kusimaia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za vijiji
viii. Mwenyekiti wa vikao vya wataalamu waliopo katika vijiji
ix. Kupokea, kusikiliza, na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
x. Atawajibika kwa mtendaji wa kata

B. SIFA
Elimu ya kidato cha nne au sita aliyehitimu mafunzo ya stashahada/cheti katika moja ya fani zifuatazo utawala, sharia, elimu ya jamii, usimaminzi wa fedha, maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma na chuo chochote kinachotambuliwa na serikali

C. NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya seriklai ngazi ya mshahara TGS B kwa mwezi

MASHARTI KWA JUMLA
i. Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
ii. Waombaji wote waambatanishe cheti cha kuzaliwa
iii. Waombaji wote waambatanishe na maombi binafsi (CV)
iv. Waombaji wote waambatanishe picha 1 passport size ya hivi karibuni na nakala ya (copy) ya vyeti halisi
v. Transcript, “Testimonial, Provision Result na statement of resurt havitakubaliwa
vi. Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18
vii. Maombi yataanza kupokelewa kuanzia tarehe 21/01/2015 hadi tarehe 03/02/2015
viii. Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta

Oscar P. Simtengu
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

APPLICATION INSTRUCTIONS:

MAOMBI YATUMWE KWA

MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 97
KASULU

If you are qualified for this position

  • Please follow the application instructions

  • Job Vacancy > Afisa Mauzo/Promotion
    Location > Dar Es Salaam
    Position Type > Part Time
    Organization Type > Company

  • Amazing Star Enterprise

Application Deadline: 03 Mar 2015
Afisa Mauzo/Promotion POSITION DESCRIPTION:

Nafasi za kazi kwa Vijana wa Mauzo na promotion wa kike kwa wa kiume. Promotion kubwa na endelevu ya uuzaji wa vitabu vya aina mbalimbali. mshahara mnono utatolewa kwa vijana wenye sifa. vijana wenye uzoefu wa promotion watapewa kipaumbele . Promotion itafanyika Dar /Moshi /Arusha na baadae kwenye mikoa Mingine (changamkia fursa)

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Waombaji wote wafike kwa ajili ya usaili kwa Dar es salaam ni tarehe (31/1/2015) na Ars/moshi ni tarehe 15/2/2015 na itafanyika hapa Arusha - Sanawari waombaji wote watatakiwa kujaza form maalum (questionnaire) wakati wa usaili wao.

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

ddsdfs

Powered by Blogger.
back to top