Powered by Blogger.

Thursday 19 February 2015

KUMBE SHEMEJI NI DILI? OMMY DIMPOZ AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA WEMA SEPETU 'SHEMEJI' MSIKILIZE HAPA

Posted by Unknown at 20:47 0 Comments

Wengi wakidai kuwa huenda ikawa ni picha ya utengenezaji wa video ya Ommy Dimpoz huku wengine wakidai kuna project mpya kati ya wawili hao.
Wakati hayo yote yakiendelea bila kupata majibu kamili, Ommy Dimpoz aongea ya kwake



"Kwasasa sina chochote cha kuongea, zinamaanisha hivyo hivyo kama zilivyo" amesema Dimpoz. licha y akuuulizwa maswali mengi lakini jibu lake limebaki kuwa hivyo hivyo..

Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

ddsdfs


Powered by Blogger.
back to top