Powered by Blogger.

Friday 23 January 2015

Manny Pacquiao amjibu May weather "Saini Mkataba kwanza"

Posted by Unknown at 00:40 0 Comments

Manny Pacquiao amjibu May weather "Saini Mkataba kwanza"

Bondia Manny Pacquiao a.k.a Pac man ametuma taarifa kwa bondia mwenzie Floyd Mayweather ambae ana taraji kupambana nae hivi karibuni,baada ya kuonekana kwa kila mtu kumtambia mwezio juu ya pambano hilo
poster pacquiao photo: pacquiao espn.jpg 
Pac Man a.k.a Manny Piquaio alionekana maeneo ya mji wa New York majira ya asubuhi,chombo cha TMZ kilipo jaribu kumuuliza kuhusuiana na pambano anaro taraji kupambana na Floyd Mayweather alisema......
FLoyd anachotakiwa ni ku sign mkataba kwanza
 "Floyd!Sign the contract."
Bondia huyo Pic Man pamoja na crew yake wamesha sign mkataba wa pambano hilolitakalo fanyika May 2 mwaka huu ambapo Manny Piquiao anataraji kupambana na mchezaji mwenye hela nyingi kuliko wachezaji wengine Floyd Mayweather

Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

ddsdfs


Powered by Blogger.
back to top