Powered by Blogger.

Friday 23 January 2015

Mcheza kikapu wa kike afariki dunia baada ya kukwama na big g akiwa amelala

Posted by Unknown at 00:44 0 Comments

Nyota mdogo mcheza kikapu mwenye umri wa miaka 21 Shanice Clark amefariki dunia mara baada ya kukabwa na big g wakati akiwa amelala...

Shanice Clark (21) alikua mwanafunzi wa chuo cha Pennsyvani mji wa Califonia,alifariki akiwa katia bweni lake la chuo wakati akiwa amelala mida ya saa tisa na nusu usiku 3:30 pm.

Wenzake wanadai kua,Shanice Clark alilala huku akiwa ana tafuna big g ghafla aka kabwa,walipo jaribu kumkumbiza hospitalini lakini jitihada zao hazikufanikiwa kwani alikua amesha fariki.

Polisi wamethibitisha kwa kifo  mwana michezo huyo wa mpira wa kikapu.
 

Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

ddsdfs


Powered by Blogger.
back to top