Powered by Blogger.

Friday 6 February 2015

Picha za Raisi Mugabe akianguka zavuruga mitandao ya kijamii

Posted by Unknown at 03:02 0 Comments

Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe, 90, alianguka mpaka chini mara tu baada ya kumaliza speech aliyokuwa akiitoa kwa wafuasi wake waliokuja kumpokea airport  baada ya safari yake kutoka Ethipia, ijumaa iliyopita.

Mugabe ameanguka baada ya kukosea ngazi alipokuwa akishuka tayari kwa kuingia kwenye gari lake.

Baada ya picha hizo kusambaa, maraia wakaanza kazi yao ya kutengeneza memes zilizozagaa katika mitandao ya kijamii. hizi ni baadhi tu ya picha hizo







Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

ddsdfs


Powered by Blogger.
back to top